msaada jamani kwenye ovi sync btn my nokia500 and my computer.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada jamani kwenye ovi sync btn my nokia500 and my computer..

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by driller, Aug 24, 2012.

 1. driller

  driller JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  jamani naomba mnisaidie.. Ninatumia nokia500-ORIGINAL. Nimejaribu kudownload ovi-suite kwenye laptop ili niweze kumenage sms.. Na image na mambo mengine kwenye simu yangu.. Ila kila niki-connect simu kwenye computer ovi hairespond... Ina reply kua no device found.. Connect nokia device... Nishaurini jamani nifanyeje..!!?
   
 2. n2bra

  n2bra Senior Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  angalia kama driver zake zimekua installed
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,763
  Likes Received: 7,064
  Trophy Points: 280
  nokia now hawatumii ovi wala pc suite mi pia naface matatizo nkizitumia.

  Toka watoe lumia wametoa kitu kinaitwa NOKIA SUITE ina kama icon ya blue tumia hio

  Kwa maelezo zaidi na jinsi ya kuidownload nenda link hapo chini

  Nokia Suite Support - Nokia
   
 4. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,244
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  au ntafute tumoro nkupe setting za nokia suite....niko dar
   
Loading...