white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,305
- 13,265
heshima kwenu wakuu.nina camera aina ya hp r817,ambayo niliitumia kupigia picha,na ina memory card ya 4GB,Cha ajabu nimetaka kuzihamishia hizo picha kwenye laptop,kwa ku2mia CARD READER-SDHC,kwani camera yenyewe haina sehemu ya kuchomekea usb cable,ni lazima utumie card reader,cha ajabu niki connect kwenye computer ina detect fresh,na memory card inaonekana ila haifunguki!!ili niweze kuzi copy picha,nimejaribu kuiscan ina scan ila haionyeshi kama kuna virus! ila ukiiweka kwenye camera picha zote zinaonekana!Tatizo litakuwa nini?NAOMBENI MSAADA KWANI PICHA ZENYEWE NI ZA UKUMBUSHO!!!!!!!!!!!!!!!!!!