msaada jamani kunyonyesha kunanishinda

Chokochoko

JF-Expert Member
Oct 15, 2011
438
183
tangu nimejifungua sina0raha kila nikifikiria kunyonyesha maana chuchu zinauma mpaka nataka kuchanganyikiwa.

Mtoto akiwa ananyonya mwanzo niliambiwa nivumilie wiki2 zitakua zimepoa sasa ni mwezi wa2bado naumwa sana.

kila nikifikiriakunyonyesha0nakonda kabisa.
Jamani anaejua dawayaku zipooza naomba anijuze nakusha.
 
Wewe jamaa hapo juu scorecard ume like nini sasa, mtu anaomba msaada wewe unaalike kana kwamba umefurahi naona,mpe ushauri if you know something,

Ndugu yangu subiria kuna wataalam watakuja kukupa ushauri kuhusu hili swala maana ningekusaidia ila me sio mzoefu sana....
 
Last edited by a moderator:
Pole sn mami, nafikiri kuna cream za kupaka ili kuzilainisha. Ngoja waje wajuzi ila kama unachelewa ongea na dk ulikojifungulia huwa wanajua..

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Pole sn mami, nafikiri kuna cream za kupaka ili kuzilainisha. Ngoja waje wajuzi ila kama unachelewa ongea na dk ulikojifungulia huwa wanajua..

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
jamani hiyo cream inaitwaje? Maana maumivu nimakali kwelí
 
jamani hiyo cream inaitwaje? Maana maumivu nimakali kwelí

cheki na dk kwanza, au kama vipi google kdogo kupata idea kwanza... Mfano cheki on nipple cream for breastfeeding, breast feeding cream. But the best suggestion ni kuongea na dk kwanza.
 
Pole sana mama,hakikisha unamweka mtoto vizuri katika ziwa lako, yani sehemu kubwa ya chuchu iingie mdomoni kwa mtoto.

Halafu uwe unamnyonyesha mara kwa mara kama alivyoshauri mwenzetu hapo juu hii itasaidia kuondoa maumivu.

Maumivu yataisha tu usiache kunyonyesha mwanao sababu faida za kunyonyesha ni kubwa kuliko maumivu hayo ya muda.pia unaweza uka google tatizo lako na kwa msaada zaidi nakushauri uende hospitali.
source:mother of 1.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom