msaada jamani kunyonyesha kunanishinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada jamani kunyonyesha kunanishinda

Discussion in 'JF Doctor' started by Chokochoko, Sep 8, 2012.

 1. Chokochoko

  Chokochoko JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  tangu nimejifungua sina0raha kila nikifikiria kunyonyesha maana chuchu zinauma mpaka nataka kuchanganyikiwa
  mtoto akiwa ananyonya mwanzo niliambiwa nivumilie wiki2 zitakua zimepoa sasa ni mwezi wa2bado naumwa sana
  kila nikifikiriakunyonyesha0nakonda kabisa.
  Jamani anaejua dawayaku zipooza naomba anijuze nakusha

  0
   
 2. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Wewe jamaa hapo juu scorecard ume like nini sasa, mtu anaomba msaada wewe unaalike kana kwamba umefurahi naona,mpe ushauri if you know something,

  Ndugu yangu subiria kuna wataalam watakuja kukupa ushauri kuhusu hili swala maana ningekusaidia ila me sio mzoefu sana....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. neggirl

  neggirl JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 4,830
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Pole sn mami, nafikiri kuna cream za kupaka ili kuzilainisha. Ngoja waje wajuzi ila kama unachelewa ongea na dk ulikojifungulia huwa wanajua..

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 4. Chokochoko

  Chokochoko JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  jamani hiyo cream inaitwaje? Maana maumivu nimakali kwelí
   
 5. neggirl

  neggirl JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 4,830
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  cheki na dk kwanza, au kama vipi google kdogo kupata idea kwanza... Mfano cheki on nipple cream for breastfeeding, breast feeding cream. But the best suggestion ni kuongea na dk kwanza.
   
 6. M

  Mkumbavana Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnyonyeshe mtoto mara kwa mara
   
 7. Chokochoko

  Chokochoko JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  namnyonyesha ila maumivu ndio yanazidi ,
  4o  0
   
 8. mimi05

  mimi05 Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana mama,hakikisha unamweka mtoto vizuri katika ziwa lako, yani sehemu kubwa ya chuchu iingie mdomoni kwa mtoto.Halafu uwe unamnyonyesha mara kwa mara kama alivyoshauri mwenzetu hapo juu hii itasaidia kuondoa maumivu.Maumivu yataisha tu usiache kunyonyesha mwanao sababu faida za kunyonyesha ni kubwa kuliko maumivu hayo ya muda.pia unaweza uka google tatizo lako na kwa msaada zaidi nakushauri uende hospitali.
  source:mother of 1.
   
Loading...