Msaada jamani,kufanya application kwa email

Trophs

Member
Nov 15, 2014
43
95
Habari wana jf.naomba kuelekezwa namna ya kuandika maombi(application) kwa email.Naombeni msaada jamani.
 
svoca

JF-Expert Member
Jun 6, 2014
373
170
si unaenda kwe email yako then pale juu unaandka email adres ya huko unaomba afu ka wanataka uatach na vyet c unaviatach then una2ma ndan yake ikiwamo hyo barua
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,300
2,000
Vile vile unavoomba kwa barua za kawaida.

Kwenye email yenyewe andika kama cover letter unataka nini na kwanini wewe ndo unafaa kwa kazi hiyo, tofauti ni kuwa hakuna haja ya kuandika zile anwani yako/yao kama unavoandikaga kwenye karatasi.

Weka subject line inayoelezea email inahusu kazi ipi.

Then attach CV yako kama file, nashauri utumie PDF format, hakuna haja ya kuattach vitu vingine kama cheti etc unless wameviomba.

Good luck.
 
Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,159
2,000
Huwa si amini sana emails!! Niliwahi kutuma applicationa zangu shirika fulani hivii, zikawa delivered kabisa na kwa siku kama tatu nafuatilia kuona report ili kama imefail nirudie tena!! Siku kama nne hivi baada yaa dealine kupita nikashanga report kuwa ile email haikuwa delivered!!

Nilichoka, how come delivery note ije baada ya kama wiki tatu na ushee tangu nimetuma mail.

Tangu hapo huwa siamini katika email
 
pixel

JF-Expert Member
Jun 22, 2012
1,631
1,500
Habari wana jf.naomba kuelekezwa namna ya kuandika maombi(application) kwa email.Naombeni msaada jamani.
Ni rahisi sana.
1.scan vyeti vyako kisha viweke kwenye faili ndani ya compyuta"desktop"
2.Fungua e-mail kama huna.
3.kwenye e-mail nenda sehemu imeandikwa "compose"
4.pale palipoandikwa "To" weka e-mail ya unaemtumia barua
5.pale palipoandikwa "subject" andika neno Job application
6.pale kwenye ukurasa wa chini yake Andika hiyo barua yako(official latter)
7.Baada ya hapo nenda chini utaona alama ukiweka kasa yanakuja maandishi "attachment option",bonyeza hapo
8.utakuja ukurasa wa kukuonyesha uchague faili ambalo lina vyeti vyako,bonyeza desktop,kisha yatakuja mafaili ya kwenye desktop,fungua faili lenye vyeti kisha vita upload chini ya hiyo barua yako.
9.bonyeza "send" baada ya vyeti vyote kuja hapo chini ya barua.
 
svoca

JF-Expert Member
Jun 6, 2014
373
170
Ni rahisi sana. 1.scan vyeti vyako kisha viweke kwenye faili ndani ya compyuta"desktop" 2.Fungua e-mail kama huna. 3.kwenye e-mail nenda sehemu imeandikwa "compose" 4.pale palipoandikwa "To" weka e-mail ya unaemtumia barua 5.pale palipoandikwa "subject" andika neno Job application 6.pale kwenye ukurasa wa chini yake Andika hiyo barua yako(official latter) 7.Baada ya hapo nenda chini utaona alama ukiweka kasa yanakuja maandishi "attachment option",bonyeza hapo 8.utakuja ukurasa wa kukuonyesha uchague faili ambalo lina vyeti vyako,bonyeza desktop,kisha yatakuja mafaili ya kwenye desktop,fungua faili lenye vyeti kisha vita upload chini ya hiyo barua yako. 9.bonyeza "send" baada ya vyeti vyote kuja hapo chini ya barua.
Hakika nawapenda sana watu kama hawa wewe una sifa zote za kuwa mwalimu kwani umeeleweka hakika asante mana cc tulijibu kwa kifupi big up!
 
Trophs

Member
Nov 15, 2014
43
95
Ni rahisi sana.
1.scan vyeti vyako kisha viweke kwenye faili ndani ya compyuta"desktop"
2.Fungua e-mail kama huna.
3.kwenye e-mail nenda sehemu imeandikwa "compose"
4.pale palipoandikwa "To" weka e-mail ya unaemtumia barua
5.pale palipoandikwa "subject" andika neno Job application
6.pale kwenye ukurasa wa chini yake Andika hiyo barua yako(official latter)
7.Baada ya hapo nenda chini utaona alama ukiweka kasa yanakuja maandishi "attachment option",bonyeza hapo
8.utakuja ukurasa wa kukuonyesha uchague faili ambalo lina vyeti vyako,bonyeza desktop,kisha yatakuja mafaili ya kwenye desktop,fungua faili lenye vyeti kisha vita upload chini ya hiyo barua yako.
9.bonyeza "send" baada ya vyeti vyote kuja hapo chini ya barua.
nashukuru sana kwa maelezo make nilihisi naweza kuwa nakosea
 
Mathematical

Senior Member
Nov 8, 2010
120
225
Watu wamesoma computer kwenye ubao hawajawahi kuiona kabisa..vizur kwa waliomuelewesha

Usiniwaze kama huwezi kujiwaza.
 
jmushi72

Member
Nov 6, 2014
6
20
Ila Sasa kuna application nyingine should be in handwriting.So lazima u scan hiyo application letter.
 
Cowman

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
1,640
2,000
Ni rahisi sana.
1.scan vyeti vyako kisha viweke kwenye faili ndani ya compyuta"desktop"
2.Fungua e-mail kama huna.
3.kwenye e-mail nenda sehemu imeandikwa "compose"
4.pale palipoandikwa "To" weka e-mail ya unaemtumia barua
5.pale palipoandikwa "subject" andika neno Job application
6.pale kwenye ukurasa wa chini yake Andika hiyo barua yako(official latter)
7.Baada ya hapo nenda chini utaona alama ukiweka kasa yanakuja maandishi "attachment option",bonyeza hapo
8.utakuja ukurasa wa kukuonyesha uchague faili ambalo lina vyeti vyako,bonyeza desktop,kisha yatakuja mafaili ya kwenye desktop,fungua faili lenye vyeti kisha vita upload chini ya hiyo barua yako.
9.bonyeza "send" baada ya vyeti vyote kuja hapo chini ya barua.
hongera mkuu, ungezaliwa enzi za nyerere watanzania tungekuwa mbele sana
 
Cowman

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
1,640
2,000
Vile vile unavoomba kwa barua za kawaida.

Kwenye email yenyewe andika kama cover letter unataka nini na kwanini wewe ndo unafaa kwa kazi hiyo, tofauti ni kuwa hakuna haja ya kuandika zile anwani yako/yao kama unavoandikaga kwenye karatasi.

Weka subject line inayoelezea email inahusu kazi ipi.

Then attach CV yako kama file, nashauri utumie PDF format, hakuna haja ya kuattach vitu vingine kama cheti etc unless wameviomba.

Good luck.
mkuu kuhusu kutoandika anwani ni sahihi kwel??
kuna mdau mmoja aliniambia ni bora kuandka anwan yao afu pale chini ndo ukaandka yako

yan kam hivi

Yours sincerely
Steve Mimi
P.O.Box 01
Kisarawe
Stvmimi@yahoo.com
+255715xxxxx
je ni sahihi hii?

kuna mda watahitaji kuprint iyo cover letter so its better uattach but separate na CV
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom