Msaada jamani kila ninayelala nae harudi tena

Msaada jamani kila ninayelala nae harudi tena

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,477
Reaction score
21,039
Jaman jaman wana JF mwenzenu nimenasa naomba msaada sijui nina nini mimi,ndo hivo umri unanitupa mkono nakaribia miaka 35 sasa sijampata hata aliyewahi kunitangazia ndoa,cha ajabu kila anayelala na mimi siku ya pili harudii tena na hata nikimpigia simu hapokei
Hapo ndo linapoanzia tatizo najisikia vibaya...thatha hata mtaani nachagua kwa kupita !kuna mwanaume mmoja huyo ndo aliwahi kunichana live kuwa nina maji mengi na P.u.s.sy yangu kubwa kiasi kwamba ha piz hadi amfikirie demu wake wa zamani
Sasa basi jamani naomba msaada nifanyaje mie(true story from my friend....) Wanajamvi kuna dawa ya kupunguza haya maji na kuifanya hii nanilihii irudi ibanebane kidogo?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nilisoma mahali ningemwambia ila naogopa watu wataona ni mimi ,while am virgin with my brand new k
nipm nikuambie

Lol dada funguka tu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kie kie kie kie kie aiseeeee!!!!!!!


Sent from my EyePhone
 
Fanya kegel exercises
kamaa wadau walivyosema,pia ni vizuri ukaenda kwa gynaecologist kwa uchunguzi na ushauri maana inawezekana pelvic floor muscles zako zimelegea
 
Back
Top Bottom