Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,804
- 110,030
thatha hata mtaani nachagua kwa kupita !kuna mwanaume mmoja huyo ndo aliwahi kunichana live kuwa nina maji mengi....
Wanajamvi kuna dawa ya kupunguza haya maji..
kwa namna ambavyo tunapata shida ya maji huku King'ong'o najua rafiki yako angemeki bingo sana....zati iz e nachuro oasisi atiii hata Dawasco hawatii ndani.
Ushauri:
Mwambie rafiki yako apunguze kuvaa selewili, kisima kitakauka tu!!