who is to blame?....(IF I MAY ASK)..Geoff unajua nilipokuwa naongea na jamaa nilikuwa natetemeka sasa sijui ni woga au hasira...ila mh!!!
...na huyo mama?huyo mtoto atalaaniwa, unakumbuka reubeni mtoto wa yakobo alishawahi kuala na mke wa babayake, na hakubarikiwa kabisa kati ya watoto kumi na wawili wa israel. Maumbile yake na maumbile ya baba yake yaliingia sehemu moja, ni uchafu uliopindukia. Pole kwa kijana, atalaaniwa, hawezi kukipanda kitanda cha baba yake akawa sawa.
Kwa huyo mwanamke, kama ananisikia humu, aombe mungu amsameha haraka, aokoke (hata huyo kijana), aachane na uchafu huu. Kama hatafanya hivyo, balaa nyingi sana zitamfuata, na atavuna matunda ya hayo anayopanda. Kama hakuwa na aibu ya kuvua nguo mbele ya mtoto damu ya mume wake, akamuonyesha maumbo yake sawa na anavyomwonyeshaga mume wake, basi huyo hana hata chembe ya aibu, na hivyo ni mtu hatari sana, anawezafanya lolote. Ni kitu cha ajabu hakika.
whats so funny about this😕Damn this is serious........lol
sasa ni kwamba walikuwa hawajuani in the first place kwamba huyu mama ni mke wa baba au inakuaje mpaka wakaanza huo mchezo mchafu????? hebu nijuze hapo kwanza Laligeni.
...jamaa alikuta ujumbe kwenye simu ya mkewe kutoka kwa huyo kijana (kumbuka jamaa anaifahamu namba ya kijana wake) ingawa mama ame-save kama "My baby boy". Ujumbe ulisomeka hivi " mummy i miss you so much maisha hapa chuoni ni ya upweke sana...hebu fanya mpango uje angalau nipumzike maana huwa nafurahia sana mapigo yako...I love u'" alipombana mkewe kuhusu huu ujumbe mke alilia sana na kudai kuwa huenda aliyeandika huo ujumbe alitumia simu ya huyo kijana na pia akatuma katika namba ya huyo mama kwa makosa.
.
Jamaa amenielza kuwa yuko njiani kuja Dar ingawa hakunielez kwa uwazi kuwa ujio wake una madhumuni gani..Kuja kwa wakwe zake? au anamfata kijana wake. kwa kuwa ni rafiki yangu sana na mara nyingi anapokuja hapa mjini hufikia nyumbani kwangu nategemea kuzungumza naye zaidi juu ya hili suala lakini jamani mtoto wa kiume kafanya hayo aliyofanya.Jamaa ameniuliza swali kuwa kama ningekuwa ni mimi kwenye hali kama hiyo ningechukua uamuzi gani kwa kweli sikuwa na jibu la haraka maana nilihofia ushauri mwingine unaweza kumu-influence mtu kufanya jambo la hatari...Jamani hebu tushauriane huenda nitapata clue ya nini cha kumshauri jamaa yangu...
whats so funny about this😕
Opps u did not? what did u mean by lol? ... anyway forget it... sorry my badDid i mention or expressed anywhere that this is funny Noname????
Damn this is serious........lol
..JS sio kwamba walikuwa hawajuani kuwa huyu ni mke wa baba na huyu ni mtoto wa mume...Unajua mpaka muda huu bado inaniumiza kichwa lakini kinachonijia akili nadhani yule mama alichukua muda kujenga mazingira ya kumnasa kijana. kama umesoma vizuri hiyo story mara ya kwanza walionekana bar wakiwa mtungi....sasa sijui kama kuanzia hapo mama ndio akafunua au vipi. Lakini nami nawaza kitu kingine tofauti kuhusu jamaa sijui kuwa anamtosheleza mama vizuri au sijui ndio hayo mambo ya safari kila siku mama kaona kuliko kudoea kwa jirani atafune kilicho karibu...yaaani nina maswali mia kidogo...Duh!!Damn this is serious........lol
sasa ni kwamba walikuwa hawajuani in the first place kwamba huyu mama ni mke wa baba au inakuaje mpaka wakaanza huo mchezo mchafu????? hebu nijuze hapo kwanza Laligeni.