Msaada jamani jinsi ya kujiunga na freemason

Ni ukweli usiopingika kwamba wapo watu wengi wanaotamani kujiunga ila hawajui wako wapi?wanapatikana wapi?na utaratibu wa kujiunga ukoje?npennda kuuliza hili swali kwa niaba ya wale ambao wangependa kujua na mimi pia mmoja wa wanaotamani kuijua vizuri freemasons
 
Achaneni na hao mpaka damu yako iwena uwezo wa juu kishirikina .mi nimetoka nipo kwa yesu.na nimepata mali kwake, njoo kwa yesu yeye nitajiri wa matajiri.
 
Kata mkono wako wa kulia kisha nijulishe nikuapishe kwa kufuata maneno nitakayokuelekeza, ukishaukata tafadhali toboa na jicho moja kisha nitumie namba yako ya cm, changamka maana nishaanza program yako
 
Hamjui mnachokitamani.Kumbuka kwamba once a freemason you are a freemason,nafasi ya kutoka hamna.So uko tayari kuua ndugu zako,kunywa damu za watu,kutoa watoto wachanga makafara,kutoa makafara kwa kutumia ajali za barabarani,meli,ndege nk. nk.na ubaki huko kwa maisha yako yote?In short uko tayari kufanya uovu wa kupindukia na hatimaye utengwe na Mungu milele?If you are ready go ahead.Lakini kumbuka,once a freemason,you wiil remain a freemason.
 
Mmataka kujiunga na team AHELA a.k.a kuzimu.
poleni sio kila king'aacho ni dhahabu.
WATCH OUT!%$$#@
 
Usitafte laana ya kujitakia mkuu.Bora ujifanye haujui kuliko waanze kama asingekuwa yule?AU ni wewe mwenyewe kamanda?Achana na upuuzi huo mkuu.Bora ufe ukiwa maskn.

watu wengine huwa hawaamini mpaka yawatokee puan
 
njoo mjini freemason Hall mtafute Andy Chande atakuingiza....eeeh maana hamna namna kama mtu alkili yake inapenda slope mtoe na breki kabisa atelemke vizur
 
mtu wa kijijini hawez omba huo ujinga ni yeye sema anapita shortcut,na hii ndio akili ya wasomi uchwara wengi,mtu anataka amalize certificate tuu apate mamilioni ya mshahara! nakushauri mkuu kama unaamini ktk Mungu,muombe na fanya kaz kwa bidii na malengo........utachomoka,njia za mkato zina madhara na kama hauamini ktk Mungu fanya kaz kwa bidii na malengo utachomoka
 
wegr waambie watatafutwa tu na wenyewe ,( vigezo na mashart kuzingatiwa)
&#8857;<
%^¤

Fgggg
 
*5432*number ya kadi yako ya bank #
Halafu fuata maelekezo!
 
Kweli watu wapo tayari kumuabudu shetani na kumuita mungu kwa sababu ya pesa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…