Msaada jamani jinsi ya kujiunga na freemason


Vipi wewe umewezeshwa kufanya nini na kupata nini?
 
Kuna njia moja tu ya kumfikia Yehova, nayo ni Yesu Kristo (Iesus kristus). Hata ukipewa dunia nzima na mali zote zilizomo bila Yesu ni bure!! ni kujilisha upepo. Yesu ni kila kitu.

Mungu akubariki
 
hujatumwa na mtu ila ni wewe unataka kujiunga.pole si bure nadhani una laana ya wazazi
 

kasome vizuri kwenye jukwaa la ujasilia mali, watu wanauliza jinsi ya kufanya biashara, kukuza mitaji, kujiajiri. wewe unatafuta jinsi ya kuangamiza familia yako na nduga zako? sidhani kama uko chuo kweli utakuwa unatudanganya. ungekuwa chuo unge fikiria kwa IQ kubwa kabla ya kuleta hoja. wasomaji wa biblia nisaidie kumalizia kwa kuniwekea kifungu kisemacho waacheni wafu wazike wafu wao...........................
 
Freemason ni group la "Majiri Kweli" sasa kama ni mabilionea waambie waende pale Freemason Hall Dar es salaam mkabala na Kilimanjaro hotel
 
nenda posta pale zaman ilikua inaitwa kilimanjaro hotel kuna ofisi zao watakusaidia
 
Kujiunga ni rahisi sana.mziki unakuja katika kutimiza masharti ya kupata mafanikio uyatakayo. moja ya masharti ni kuuwa watu wako wa karibu kama wazazi au ndugu zako. utaweza wew??

hata hivyo fedha na dhahabu ni mali ya bwana.....
 
Baba na mama au watoto wako ndio kiingilio au mkeo. Wanavyo dai ila sio kweli, hili kundi lilianzia marekani long time ago. Ni kundi la wajenzi (waashi) waliokuwa wanatumikishwa na matajiri pasipo maslahi. Ndipo wakaungana na kuunda kundi na kufanya kazi zao wenyewe, wakajiita free manson yaani wajenzi huru. Wakapata mafanikio makubwa na kuwa mabilionea, kwahiyo kuna uzushi mwingi kuhusu freemanson usio na ukweli wowote. Hili ni kundi la matajiri masikini hana nafasi. Namna ya kuingia kundi hili kwanza uwe milionea, halafu ukiwa member unawezeshwa kuufikia ubilionea na utirionea.
 
Nina unganisha watu na Freemasonry nitumie kiingilio kwa M Pesa
 
aachana na matapeli. Piga namba yao hii moja kwa moja 11111111111
bila kuweka nambari kiunganishi wala nini.
 
nenda kinondoni manyanya kuna pub inaitwa free masson pub...ingia utakuta li dem booonge hivi...lina form. kichwani lina rasta amezifunga km pembe za yule mkulu wao...
 
Kazi rahisi tu! Jinyonge, then unaenda moja kwa moja jehanam kwa Mr Lucifer, huyo ndo kubwa la maadui!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Lete majogoo matatu, mmoja mwekundu, mwengine awe mweusi na wamwisho awe mweupe, lete na mchele kilo saba na mzigo huo unamtuma shemeji aulete na atalazimika kupiga kambi sehem ya maombi kwa siku tatu. Akirud nyumban tu we member tayar
 
huwa hawachukui watu wenye akili na mtizamo kama wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…