Dawa za vidonda vya tumbo nimeshstumia sana,mpaka chumbani kwangu kumejaa maboksi ya madawa!Mpaka sasa nimeandikiwa kuwa nahudhuria clinic ya madawa hapo hospitali ya Rufaa mbeya,ila hakuna nafuu yoyote!Madaktari wenyewe wanabishana hasa kuhusu ugonjwa wangu hii ni baada ya vipimo vya BARIUM MEAL NA BARIUM ENEMA KUONYESHA HAKUNA TATIZO!!