Msaada jamani: Haya magari yana shida gani?

Msaada jamani: Haya magari yana shida gani?

Sidhani km huyo dotto ashawai itumia, pia ushauli wa mtumiaji n mzuri zaid y muuzaji
Mkuu vipi ulifanikiwa kuichukua? Unaendeleaje na hiyo machine? Nataka kujilipua pia, ila kelele ni nyingi sana kuhusu engine zake kwamba zinasumbua sana... Tupe ushuhuda Mkuu..
 
Mkuu vipi ulifanikiwa kuichukua? Unaendeleaje na hiyo machine? Nataka kujilipua pia, ila kelele ni nyingi sana kuhusu engine zake kwamba zinasumbua sana... Tupe ushuhuda Mkuu..
Haina shida ndugu, nilisha ivuta, inamwaga moto vibaya sn, confort ya hali ya juu, mafuta inakula vzuri, safety features za kutosha.

Ukisikiliza ushauli wa wabongo utaishia kununua IST na Carina TI
 
Back
Top Bottom