wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,597
- 29,530
Asee hongera sana uko vizuri mkuuHahahahahaha ndo unazoea taratibu mkuu.. Mi zamani ilikua hata kukaa na demu hivi natetemeka... Msela wangu mmoja akanichana nikiwa hivo watoto wazuri ntaishia kula kwa macho...basi nkaanza kujipa ujasiri nkazoea