Msaada jamani bibi harusi anatafutwa

unaweza kuamua kuchukua nafasi yake kurahisisha mambo!:juggle:
 
ameshauriwa haelewi ananingangania mimi eti nimsaidie mimi kweli siwezi kuwa bibi harusi feki
 
Kuna mambo mawili ya kufanya:

1. Wewe kama hujaolewa na unapenda kuolewa naye weka wazi kuwa ungependa kuolewa, kisha taratibu za kawaida zifuatwe, ila ndoa ya sasa na huyo aliyekuwa mtarajiwa iahirishwe, na ya kwako ipangiwe siku nyingine.

2. Kama hutaki kuolewa na huyo Bwaba harusi mtarajiwa waambie wazi na ushikilie msimamo wako.
3. Uwe bibi harusi fake so what. Hiyo inawezekan tu kwenye ndoa za kimila ikiwa bi harusi mtarajiwa ameugua ghafla. Kwa jinsi hiyo huwezi kuapa kiapo cha ndoa kwa niaba ya mtu mwingine. You can never be a fake, but yoy can always be real.
 
Na ukisha sign hicho cheti cha ndoa na akaendelea kukuforce uwe nae kama mumeo utafanyaje?au unampenda?
 
Watoto wakike siku hizi wamekuwa wehu tareh 5.11 kuna mdada aliolewa tareh 6.11 alfajri akamtoroka mmewe kaenda ubungo kapanda bus hadi tabora kafuata libuzi lake. Tatizo wanawake wanatamaa ndio maana nyoka aliwadanganya kama aumpendi mtu from the begin kuwa muwazi sio kuficha hisia badala ya kudanganyika na vizawadi na pesa.
 
sio mimi mkuu mbona unanimind mie? Yaani ametuabisha sana mamake yupo hosptal amelazwa
 
ameshauriwa haelewi ananingangania mimi eti nimsaidie mimi kweli siwezi kuwa bibi harusi feki

Nachoeapendea kina dada ni hiki tu....
Mking'ang'aniwa sana mwisho mnakubali...kwa kisingizio cha jamaa king'ang'anizi....
:eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows:oa:biggrin:
 
Mbona hujaweka picha yako halisi kama ulivyoahidi... Tungejua kama unafaa kukaa kama bibi harusi feki au lah.

Tatizo mabinti wengi wa kibongo mkipata wazungu mnaona ni ukombozi, au mmetoka mikononi mwa utumwa, kumbe utamu wa asili kwa ajili yenu tunao sisi waswahili wenzenu.
 
Ah kachoka nafsi yake huyo bwana labda alikua sie, na nyumbani kwenu kwani biharusi si anakua nyumbani kama mwezi au 3weeks kabla ya harusi au kwenu hakuna hayo mila zenu nyengine? mpaka anatoka anasafiri mlikua wapi? anyway wambie watafute mwengine hata kama unataka kuwasaidia lakini sio msaada huo huyo bibi alokimbia akimwagwa na mzungu atakuja kuomba msamaha akubaliwe achana nae miogo yao wenyewe....
 
bahati haiji mara mbili na wakati watu wanakimbia wengine hukimbilia ...

hapo unachoogpa ni nini?? kupenda ni maamuzi fanya maamuzi ukichelewa utajuatia
 
ameshauriwa haelewi ananingangania mimi eti nimsaidie mimi kweli siwezi kuwa bibi harusi feki
Kwa Kweli kama ni kuwa bibi harusi feki usikubali lakini kama ni bibi harusi wa ukweli kubali yaishe, jamaa apate anachokihitaji , ila kumbuka huyo ada aliyekimbia ndo hataweza kukanyaga kwako na mzungu wake kwa aibu - lol
 

Aweke ili tukimbie?
Hana huo ubavu
OTIS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…