Msaada jaman wadau!

Msaada jaman wadau!

Ibusai

Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
40
Reaction score
4
Habari za majukumu wanajamvi, ninatumia samsung gt i5500. Haisupport youtube, microsoft(word,excel,ppt)
Tatizo nin wadau naomben msaads kwa wanaojua. Ahsanten na majukumu mema!!
 
Samsung I5500 Galaxy 5 inabeba Android 2.1(Enclair) or 2.2 (Froyo) kwa hiyo inawezekana ni sababu ya older OS... Pia, jaribu kwenda kwenye Android Market(Now Google Play) then search "YouTube" alafu jaribu ku-install,, isipoonekana kwenye search results basi ujue simu yako hai-support YouTube..
 
Download "OfficeSuite 7" Utaipata google play
 
Attachments

  • 1403953132529.jpg
    1403953132529.jpg
    49.1 KB · Views: 60
Habari za majukumu wanajamvi, ninatumia samsung gt i5500. Haisupport youtube, microsoft(word,excel,ppt)
Tatizo nin wadau naomben msaads kwa wanaojua. Ahsanten na majukumu mema!!

Tafuta google play afu download you tube, polaris office, adobe reader, afu tembelea net uisome vizuri utajua nini ina support
 
Samsung I5500 Galaxy 5 inabeba Android 2.1(Enclair) or 2.2 (Froyo) kwa hiyo inawezekana ni sababu ya older OS... Pia, jaribu kwenda kwenye Android Market(Now Google Play) then search "YouTube" alafu jaribu ku-install,, isipoonekana kwenye search results basi ujue simu yako hai-support YouTube..

Ni android 2.1(Enclair), youtube ipo lakin haifunguki!
 
Download "OfficeSuite 7" Utaipata google play

Nimejaribu kudownload ile kwenye market ila inafungua kwa muda hasa word lakin excel,pdf and ppt haifungui! Hata word nayo after muda inafunguka lakin inaonyesha alama na syo herufi ambazo unaweza kusoma!
 
Huenda internet ni tatizo, check bundle na hata internet flow kama ni nzuri unstall afu download upya. Leo net za sim card (airtel, tigo na voda) zipo chini hivyo kuna muda zinasumbua.
 
Nimejaribu more more times mpaka hata hamu sina tena!
 
Back
Top Bottom