Msaada jaman wa hii image

Msaada jaman wa hii image

kholo

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
413
Reaction score
76
Khabari zenu ndugu wanajamvi! Nimedownload game ya fifa 2013 yenye ukubwa wa GB 6 nimeliextract limekuja kama image na ukitaka ku run linataka uliban kwenye cd. So, mwenye maujanja ya ku run hii makitu anisaidie tafadhali😕
 
Tafuta magic iso itakusaidia ku extract hilo file
 
hata win rar inaweza fungua, fungua winrar nenda settings, chagua integration tab, tick iso then click ok
 
Khabari zenu ndugu wanajamvi! Nimedownload game ya fifa 2013 yenye ukubwa wa GB 6 nimeliextract limekuja kama image na ukitaka ku run linataka uliban kwenye cd. So, mwenye maujanja ya ku run hii makitu anisaidie tafadhali😕

tafuta kitu inaitwa daemon tools kisha install then double click hilo game na automatick lita run bila shida
 
download power iso ina kama mb 6, install restart pc utaona imeongezeka cd rom nyngine lets say ina herufi G, nenda kwenye hilo game right click nenda mount to select hiyo cd rom yenye G, then rudi kwenye my computer click kwenye hiyo cd rom yenye herufi G itakuwa kama vile umeweka cd yenye set up ya hilo game kwenye computer mengine nadhan yatajieleza...
 
Ahsanteni sana kwa msaaga wenu wanajamvi, nimejaribu ku install lakini bado imegoma ku funguka inaniletea ujumbe kwamba "origin is not installed, and is required to play your game. Please reinstall Origin". Msaada tena wandugu,jinsi gani naweza install hiyo Origin?
 
Back
Top Bottom