Msaada jaman kwa hii laptop yangu

Wa Bagamoyo

Senior Member
Apr 2, 2012
118
12
Jamani hii mashine imegoma kutype kabisa yani keyboard haisupport kabisa na pia kasa haifanyi kazi mpaka nitumie external mouse. Tafadhali jamani naombeni msaada wenu
 
Angalia Virus, la jaribu kufunga OS upya. Ikishindikana inaweza kuwa keyboard yenyewe imechoka utatakiwa kununua nyingine
 
Izime, toa battery,wait for about 5minutes,rudisha battery then washa.Is the problem fixed?
 
apo kuna mambo mengi sana,ila we uwe mkweli imekuaje mpaka ikawa ivo then utapata msaada
 
Angalia hiyo computer ni made in wapi..unajua hizi chinesse cheap craps...kama ni ya kichinachina tupa kule nunua mpya endelea na maisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom