Msaada jaman anatomy inaumiza kichwa

Msaada jaman anatomy inaumiza kichwa

uberito

Senior Member
Joined
Jan 16, 2016
Posts
140
Reaction score
190
Habar zenu wandugu
Kwa wale waliosomaga MD nilikuwa naomba wanipe uzoefu waliwezaje kulimudu Ili soma mana Ni sheedah.
 
Mi niliona inazingua nikapiga chini na kutokomea mzumbe
 
Kumeza ndo kila kitu,then anatomy ina mnemonics nyingi sana zitumie kumeza eg; kumeza functions za cranial nerves from 1-12 some says mary money but my brother says big breast matters most
S=sensory
M=motor
B=both[/color]
 
Sante sna broo angalau napatamwanga mana mm nakomaa Sana kuelewa naona csong kabisa
 
elimu za kumeza ndo zimetufikisha hapa tulipo watu wanameza mpaka makontena pale bandarini.

Chakufanya jitahidi kuelewa zaidi mana hasara ya kumeza ni kusahau mwisho wasiku.
 
Hahaha bro tuition ya Chuo tena hatar
 
Ni kumeza tuuuuuu, na kama ubongo wako ni 500MB, ni bora ukapiga chini mapema, na bado parasitology
 
Sio ngum sana, Anatomy kama ulipita vizuri Advance haibani sana. Unatakiwa kila unachosoma ujue kipo wapi mwilini tena siku hizi kuna you tube plus mamidoli kibao tu. Shughuli kidogo parasitology.. Akina trichomonas vaginallis... Huko utatakiwa kunywa tu mkuu
 
...your mind can do anything you tell it to do, ukisema anatomy ni shida then itakuwa ni shida.
Start by saying ukofascinated na zile foramina na foramen zote then utapata nguvu ya kujifunza
contents zake, then ujifunze kazi ya hizo contents, in a fun way and appreciating uumbaji wa mungu
in doing so. Hapo believe me, utaona somo ni jepesi tu.

Cheki hii clip for the motivation>
 
Poa wakuu shukran Sana kwa Mawazo yenu
 
Back
Top Bottom