Msaada jamamani wana MMU

ZUKUDE

Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Amani kwenu wana jf,

Naombeni msana wa ushauri, nina mpenzi wangu tumekua katika uhusiano kwa muda mrefu sasa, tunapendana na tunaaminiana pasipo na shaka ya aina yoyote hadi kufikia uamzi wa kuja kuishi pamoja kwa siku zijazo, lakini mpenzi wangu huyo yaani mke wangu mtarajiwa ananizid umri ana 28 nami nina 27 .

Je kuna tatizo tukiishi pamoja kama familia moja.?
 
Wakat unamtongoza hukuliona hilo kama tatizo...nw ndio uulize?
 

wewe katika huo muda mrefu mliokuwa pamoja kuna tatizo umeliona linalotokana na mkeo mtarajiwa kukuzidi umri?
 
Age ain't nothing but a number
 
Unaoa mwanamke boss au unaoa umri
Umri ni no tuu
Cc HARUFU
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…