msaada: Jamaa kabadilisha kozi NACTE, anapoomba verification inakuja hivi

Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,791
3,360
Information Missing:


Taarifa zako hazikupatikana, hii inamaanisha yafuatayo:

  1. Chuo ulichosoma / Unachosoma hakija kusajili kwenye mfumo, fuatilia kwa msajili wa chuo ili uweze kusajiliwa; AU
  2. Chuo / Kozi uliyosoma / Unayosoma haitambuliki na baraza; AU
  3. Taarifa za namba ya usajili uliyojaza si sahihi, hakikisha namba na ujaribu tena au wasiliana na msajili wa chuo chako kupata namba sahihi ya usajili
Tunamsaidiaje? Akipiga simu Nacte,haipokelewi
 
Back
Top Bottom