Habari wanajamii, naomba kuuliza nitawezaje kuangalia stesheni za television za nyumbani TBC/ ITV kwa kupitia satelite? kama kuna mtu ana uzoefu huo naomba msaada. asanteni
tv africa, ila itabidi ulipia kupitia paypal, ambapo unatakiwa uwe umejisajili na paypal kwanza, garama ni euro 5.58