Kama uzi unavyojieleza, niko mbioni kuagiza gari aina ya Isuzu wizard ila nilitaka kujua matatizo ya gari hii kwenu wataalamu na wazoefu wa ndinga hizi.
Mmmh! Hizi gari ziko very electronic, yani mara Turbo, mara hiki mara kile... Tulitumia hela nyingi sana kulinunua na kulitengeneza mwishowe tukaliuza mwaka 2010. I hope la kwako litakuwa poa coz sio wote yanawasumbua...

Isuzu ni gari nzuri sana ni roho ya paka...Mimi nilikuwa na Isuzu KB diesel lakini haikuwa na vitu vingi vinavyotumia umeme ,kuna fundi mmoja anaitwa Mzee Swai yuko tabata dampo ni mtaalam sana wa Isuzu alikuwa fundi wa KJ Motors those days.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.