Msaada!..Ipi SOFTWARE Ya Ku-unlock/Ku-Flash Simu Aina Zote?

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
5,405
Points
1,250

Majigo

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
5,405 1,250
Unakuta Sim Inakubali Kuwa Hewani Kwa Line Moja Tu!
Vipi Kuna Software Naweza Pata Ili Kushughurikia Hili Tatizo?
(Iwe Rahisi Kuitumia Mda Wowote)
Ahsanteni!Nawasilisha!
 

Chipukizi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Messages
2,593
Points
2,000

Chipukizi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2009
2,593 2,000
Ni PM unitajie unahitaji ya ku Unlock model gani ya simu.Zamani miaka ya 90 ndo kulikuwa na Universal Sim Card Unlocking software.siku hizi akuna kitu kama hicho kutokana na sababu nyingi tu.sasa zipo kwa kila aina ya simu na chache zenye uwezo wa ku unlock simu za aina mbili au tatu n.k

1.Ipo kwa ajiri ya simu zoote za aina ya Kichina
2.I phone only
3.NokiA Only
Kuna duka lipo mnazimoja Dar zinapatikana
 

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
5,405
Points
1,250

Majigo

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
5,405 1,250
yes possible unlocking cost ni 30,000 call 0715353108
Sasa Mkuu !
Mimi Nataka Software/Cable Ili Niitumie Mimi Binafsi Kuunlock Simu Za Kichina(ZTE,HUAWEI n.k)
Sio Mimi Niwaletee Simu Ili MuiUNLOCK!
Vipi Mnazo Sim Software /Cable Unlocking?
 

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
5,090
Points
2,000

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
5,090 2,000
kwahum kuna watu wanajifanya wanajua weeee?? kumbe ni polojo nyingi tuu zimejaa mdomon hakuna lolote walijualo zaidi ya vijimaneno mshindo. hakuna ajuaye hapa mkuu ww mwenyewe si usha ona dalili ya huu upepo?? naukijiloga tuu

kuwapigia sim umeliwa

  • :becky:
    • :becky:


 

Forum statistics

Threads 1,390,135
Members 528,097
Posts 34,043,418
Top