Msaada iphone 5s Inasumbua

Msaada iphone 5s Inasumbua

Lelon Mush

Member
Joined
Sep 16, 2019
Posts
64
Reaction score
15
Habari nina iphone 5s nikiweka mtandao wa 4g ama 3g nikipigiwa simu inakuwa busy nakuwa siwezi kupiga wala kupigiwa ila msg natuma ila nikiset mtandao wa 2g simu zinaingia na kutoka kama kawaida.

FB_IMG_16118636661908399.jpg
 
IMG_1908.jpg

IMG_1907.jpg
 

Attachments

  • IMG_1906.jpg
    IMG_1906.jpg
    61.5 KB · Views: 14
Back
Top Bottom