Msaada iPhone 4S

Msaada iPhone 4S

Seaman

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
439
Reaction score
69
Habari za Leo

Naomba msaada wa simu yangu aina ya iPhone 4S inazingua wakati Fulani Yule nae mpigia hanisikii nimebadilisha mic likini bado tatizo lipo.

Ila kuna muda inafanya kazi fresh lakini wakati mwingine inazingua sasa sijakutell tatizo nn
 
Back
Top Bottom