Msaada invalid IMEI Kwenye Simu ya Android

Msaada invalid IMEI Kwenye Simu ya Android

Brother wakati una repair imei inahusisha process ya ku back up then kisha una restore kwa kuflash tar files via odin....hivyo kurepair kwangu kuna husisha backup na restoration kaka...ndio mana nikakwambia njia zipo nyingi
shida ni upatikanaji wa tools
 
huna box wewe?

kwa adb unaweza backup na restore just kwa comand za nvbackup na restore

[Backup] QPST Backup of your NV data (IMEI) US Variants

sema siku zote ni hit and mis mpaka leo sijaona reliable solution ambayo 100% inasolve hii issue kwa pc bila box
box ninazo nyingi tu ila mm sijihusishi na vitu hivi kabisa just nafanya for funny kurestore imei kwa QPRST haiwezekani mpaka kwa baadhi ya simu sio kila simu pia ikumbukwe kuna type nyingi sana za security hivyo mpaka uwipe ndio utaweza kumodify system pia unaweza ukarestore efs au NV ram na imei isirudi (ushawahi kuona hii) pia kuna zingine ili imei irudi lazima uwrite CERT file, QCN
 
yap ni kweli nimewahi kutana na hio issue unarestore na imei hairudi, na kwa gs3 nishawahi kurudisha imei kwa kuflash modem tu
 
yap ni kweli nimewahi kutana na hio issue unarestore na imei hairudi, na kwa gs3 nishawahi kurudisha imei kwa kuflash modem tu
ni kweli wakati mwingine unaweza repair NVM baada ya kuflash na imei ikarudi pia hata kuflash modem file imei inaweza kurudi yote yanawezekana
 
Njia rahisi ni kwenda service centre na kusaidiwa lakini inategemea uko sehemu gani kuna baadhi ya mikoa na mafundi ndio utaenda kuizika simu yako

tembelea .www.gsmhosting.com, usome nini cha kufanya lakini nyingi zinahusiha interface
 
Back
Top Bottom