Mabugamtundu
Member
- Jun 3, 2021
- 15
- 8
- Thread starter
- #21
Matokeo ya interview ya oral?? Siku 2 watoe
Wametoa matokeo ya waliofanya practical jana na juzi
Matokeo ya interview ya oral?? Siku 2 watoe
Hatukuelewana nadhan...Matokeo ya interview ya oral?? Siku 2 watoe
Si umeona tokeo lakini? Watu wamepiga kama kawa mi nilifanya zote mbili. Kuna moja mtu wa kwanza ana 87...
Dah ile pepa ni nyoko
wanakuwa na roho nyepesi. Na wameita watu wengi tu kwenda oral.Kuna mwana tokeo limemkutia dsm
Umeitwa kwenye zote? Au moja?Si umeona tokeo lakini? Watu wamepiga kama kawa mi nilifanya zote mbili. Kuna moja mtu wa kwanza ana 87...
Mi nilifanya zote mbili ila niliyo ipata ni ambayo sikutegemea kulingana na pepa yenyewe ilivyo kuawanakuwa na roho nyepesi. Na wameita watu wengi tu kwenda oral.
Written ilimuengua ndo first interview ya utumishi amefanyawanakuwa na roho nyepesi. Na wameita watu wengi tu kwenda oral.
Ulifanya kitengo gani malanyingi uwa inakuwa wiki mbili mpaka tatuWazee naombeni kuuliza majibu ya oral interview za itumishi yanatoka baada ya mda gani maana ni 25days now naona kimya
System developer naona sielewi kuna offer nimepata mahali sema nikienda kama huku utumishi nimepata ndo imekula kwangu niko dilemaUlifanya kitengo gani malanyingi uwa inakuwa wiki mbili mpaka tatu
Ni project na mtu so ikianza nikaridhia i cant bail out. Mbona unasema utumishi mambo ni magumu??Kama ni ya mkataba iyo sehemu ukipata utumishi unavunja mkataba unaweza usende uku utumishi mambo yanakuwa magumu
Ingekuwa miaka ya zamani tungekuelekeza watu, angeenda tu kuzuga kuchukua kazi, siku hiz wengi hawana moyo ya kusaidia watu.Habari ndugu zangu,
Mdogo angu kaitwa interview ya vitendo shirika la reli TRC kwa fani ya equipment operator kwa mwenye ufahamu wanatumia mashine gani kufanyia usahili?