Msaada interview za Jeshi la Magereza

We jamaa acha kupotosha watu usaili wa magereza kwa wenye taaluma bado na majina yatatolewa kama kawaida kweny mitandao ya jeshi hilo mda wao ukifika...tuendelee kusubiri wadau
Mimi nakushaur kama mdogo wangu kama hukupigiwa simu tafuta kitu kingine ufanye.
 
Leo mabeo katoa #pressrelease. Nimemsikiliza kwa makin, lakin sijaona mahali alipotaja kuhusu ajira, nilicho msikia, kuwa wanahitaji jeshi dogo linalo cover eneo kubwa.

Pia, amegusia huaba wa bajeti na mambo ya husuyo jeshi, pia amezungumzia maswala ya usalama wa nchi na historia ya jeshi

Kwa kauli yake ya jeshi dogo na technologia, inamaana kuwa hawata ajiri kwa wingi kama lonja za huku zinavyo sema.

Pia amegusia ufinyu wa bajet na mashirika ya jeshi kwa maana hiyo, vijana wa mtaani tujiandae kisikologia kwa idadi ndogo watakayo tangaza.

Licha ya hivyo nimegundua kuwa jeshi linahitaji wataalamu wengi sana, lakin inaonekana msaada kutoka kwa wakubwa unakuwa changamoto kwan baadhi ya kauli zake alikua akitupia lawama kwenye uongozi wa kiraia.

Lakin yote ya yote jeshi linafanya kazi kubwa sana
 
Ameongea lini hii??
 
Wakuu mkeka wa magereza tuliusubiri Kwa hamu sana naona tumelala mapema... Amkeni makamanda mkacheki majina yenu
 
Hio haikuhusu...
Ulikua unawadanganya watu humu na huna ujualo, PDF ndo hio imetoka na hakuna aliepigiwa cm Wala nn na majina yametoka.
Hayo majina ndio waliopigiwa simu na kufanya usaili wa kwanza Wengine wameachwa. Hayo majina ni ya usaili wa pili. Na usaili huo utahusu Mambo madogo madogo. Inshort wengi wao wataenda kiwira. Wewe endelea kufura hapo. Ukiambiwa tafuta kitu kingine Cha kufanya huaminii
 
Back
Top Bottom