kitaruo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2018
- 201
- 161
Kuna msata na oljoro, kuna kihangaiko na nyingine nyingi.Inshort wana wote waliohitajika wako Msata saivi wanachukua vipimo. Na hakuna tena tumaini mzee
Bado kambi zinahitaji watu kaa kwa kutulia
Kuna msata na oljoro, kuna kihangaiko na nyingine nyingi.Inshort wana wote waliohitajika wako Msata saivi wanachukua vipimo. Na hakuna tena tumaini mzee
Fundi zoezi bado linaendelea wale lazima wapimwe, kupimwa ni lazima mkifika tu kwenye kambi yoyote ya mafunzo,ko wale acha wapimwe waendelelee kupewa mazoezi madogo madogo (uzarendo) afu wanasubiria wenzao ambao wanakuja kutoka mtaani na vikosini,tarifa ni kwamba mwezi Dec. ndo utaziona amsha amsha saivi bado wanaweka sawa mambo make oda za majina ni nyingi kaka.Inshort wana wote waliohitajika wako Msata saivi wanachukua vipimo. Na hakuna tena tumaini mzee
Kihangaiko ndo msata mkuu.Kuna msata na oljoro, kuna kihangaiko na nyingine nyingi.
Bado kambi zinahitaji watu kaa kwa kutulia
Naomba unifahamishe kambi zote za Mafunzo TPDF mkuu
Oda nyingi za majina kivp bro ..embu fafanua kidogo tuelewe,,au Ka hauna mbuyu kushiney broFundi zoezi bado linaendelea wale lazima wapimwe, kupimwa ni lazima mkifika tu kwenye kambi yoyote ya mafunzo,ko wale acha wapimwe waendelelee kupewa mazoezi madogo madogo (uzarendo) afu wanasubiria wenzao ambao wanakuja kutoka mtaani na vikosini,tarifa ni kwamba mwezi Dec. ndo utaziona amsha amsha saivi bado wanaweka sawa mambo make oda za majina ni nyingi kaka.
Hapana kaka nlimanisha oda za vijana bado nyingi zinahitajikaOda nyingi za majina kivp bro ..embu fafanua kidogo tuelewe,,au Ka hauna mbuyu kushiney bro
Mkuu hivi kozi rasmi ya TPDF huwa inaanza mwezi wa ngapi ?Fundi zoezi bado linaendelea wale lazima wapimwe, kupimwa ni lazima mkifika tu kwenye kambi yoyote ya mafunzo,ko wale acha wapimwe waendelelee kupewa mazoezi madogo madogo (uzarendo) afu wanasubiria wenzao ambao wanakuja kutoka mtaani na vikosini,tarifa ni kwamba mwezi Dec. ndo utaziona amsha amsha saivi bado wanaweka sawa mambo make oda za majina ni nyingi kaka.
Kaka mbona unaniita mkuu mie ni raia mwema tu kakaMkuu hivi kozi rasmi ya TPDF huwa inaanza mwezi wa ngapi ?
Shukrani kaka tuombe uzima na bahatiKaka mbona unaniita mkuu mie ni raia mwema tu kaka
Kwa kozi za TPD hua hazina mda muafaka kaka muda na wakati wowote inaweza kuendeshwa kikubwa idadi yao ikitosha tu basi kozi inapigwa kaka
Zipo nyingi kaka sema hizo mbili ndo mala nyingi zinapokea vijana kutokana na sababu za kimazingira. Ila zingine zipo km vile MAKUTUPORAKambi za mafunzo ya JW ni mbili tu mkuu.
Kihangaiko ambayo ipo Msata,Pwani na kambi ya Oljoro(833) ambayo ipo Arusha.
Kozi ya uafisa hutolewa TMA Mondulj,Arusha.
Amina kaka waombaji ni wengi ila Mungu huangalia mtu mwenye Imani thabitiShukrani kaka tuombe uzima na bahati
Umeongea vyemaAmina kaka waombaji ni wengi ila Mungu huangalia mtu mwenye Imani thabiti
Dah tusubiri wajuzi watupe muongozo.Samahan kama takua njee ya mada .naomba kuuliza hivi kama mtu alipita JKT mujibu anaweza kuomba tena JKT ya kujitolea na akakubaliwa ..ni hilo tu guys
Ndio mkuu qualification unayo.Samahan kama takua njee ya mada .naomba kuuliza hivi kama mtu alipita JKT mujibu anaweza kuomba tena JKT ya kujitolea na akakubaliwa ..ni hilo tu guys
Unajikuta kamanda na wewe...Tupeane lonja wakuu mibanga tutapambania wenyewe
Kiwira wameenda awamu Kama 3 Sasa nafikiri waliopo ndio wanamaliziaHivi waliokuepo kozi kule kiwira walimaliza.??
Wako BLACKLISTED kwenye MAJESHI YOTE. Hawakupata hata VYETI WALE.Mdogo wangu alikuwa hapo Chamwino kwa wale 800 waliotimuliwa nae mmoja wao!!!
Sijui itakuwaje, Now Hana dira kabisa kitaa katulia tu!!!