Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Wakubwa nawaaga jamani napotea jamii forum

Kwa wale tutakaobahatika kuwepo kwenye mkeka inshaallah tutakutana kambini


All the best wadau

wewe jamaa nakuombea sana kwa mungu aisee akufanyie wepesi ufike mbali zaidi ukalete mabadiliko kwenye jeshi letu la magereza

UPO VIZURII MKUU,I APPRECIATE YOU
 
IMG_5493.jpg

Mwamba wa magereza amerelax palee hana habar kabisa duuh
 
Tar 10 leo holaaa duuh

Ngoja tuone kesho tarehe 11 mkeka unaweza ukatoka mungu akipenda
 
Sema Magereza nao wameyumba aisee au wewe unaonaje maana naona kama huu uzi tumebaki sisi tu
 
Back
Top Bottom