Msaada interview za Jeshi la Magereza

Hakuna lonja lolote wakubwa?
Tuendelee na maisha yetu tu vyombo vimeshapita vyote pols, uhamiaji,fire, magereza,Tpdf ....nazan bado takukuru kwa watakao bahatika ukurasa unafungwa ,mpka 2023,au 2024 ndio waje wengne
 
Me nasemea matokeo ya usaili magereza... Najua kama huko kwingine tayari
 
Tuendelee na maisha yetu tu vyombo vimeshapita vyote pols, uhamiaji,fire, magereza,Tpdf ....nazan bado takukuru kwa watakao bahatika ukurasa unafungwa ,mpka 2023,au 2024 ndio waje wengne
Itoshe kusema asiye na mwana na aelekee jiwe

Ndio tushakosa hapo tusubiri miaka inayofuata tuendelee tu na mambo mengine
 
Back
Top Bottom