Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

ila asilimia kubwa Yani hata uhamiaji walichukua wa kujitolea kwahyo asilimia kubwa mujibu changamoto aise
 
ila asilimia kubwa Yani hata uhamiaji walichukua wa kujitolea kwahyo asilimia kubwa mujibu changamoto aise

Mujibu wanatu-neglect sana aisee unaweza itwa kwenye usaili kama egesha tuu ila kichwa wanakukata daah
 
wa mujibu wapo humo kuna mates nmewaona ila wengi ni wa kujitolea, ila kwa mnaoeubria jw kwa mtaani nasikia hawatachukua vijana.
 
Hata kama wapo ila ni wachache.....chamsingi ngoja tusubir tuone kama watatoa au hawatotoa...

Sababu huyo alieniambia kua zitatoka ni mtu mkubwa sana
hahaahaa et ni wachache sana , muamba ngoma huvutia kwake mkuu
 
Back
Top Bottom