Naomba niulize na ambae atakuwa amenielewa basi aweze kunijibu...ipo hivi "kupata nafasi Hadi ufanikiwe kujiunga jeshini inasemekana Hadi upite ngazi ya mitaa, Kata, wilaya Hadi mkoa sasa najiuliza kupita ngazi ya mitaa, Kata ,wilaya Hadi mkoa inaanza na process zipi Hadi useme umepita katika hizo ngazi????? na ukiangalia sikuhizi ni utaratibu wa ku apply tu kwa maombi ya ajira itakavyotoka na kutuma maombi" kama Kuna sehem nitakuwa sipo sahihi na mtu kuweka sawa zaidi basi ruksa kufanya hvyo..ila nahitaji ufafanuzi wa hili Jambo vzuri