Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

IKIFIKA TAREHE 10 magereza HAWAJATOA MAJINA AAAH NDIO BASI TENA
 
Nimewaza nikaona labda wanataka kutoa tarehe ambayo ndio ilikua deadline ya kutuma maombi.....sasa wakizingua hapo doooh
🤣🤣🤣🤣 Kaka unazingua deadline si ilikuwa mwezi jana hii November vipi tena.
 
Kaka unazingua deadline si ilikuwa mwezi jana hii November vipi tena.

Deadline ya magereza ilikua tar10 mwezi wa kumi.....ndio maana ninajifariji labda wanasubir tar10 mwezi wa 11 ndio watoe maana itakua umekamilika mwezi mmoja kamili....

Nb:NINAJIFARIJIIII na KUJIPA MATUMAINI
 
Kaka unazingua deadline si ilikuwa mwezi jana hii November vipi tena.

Kaka vipi wewe uliomba makao makuu..??? Maana naona tunafarijiana sana huenda tukaenda wote depo
 
Kaka vipi wewe uliomba makao makuu..??? Maana naona tunafarijiana sana huenda tukaenda wote depo
Ndio Kaka niliomba makao makuu, tuombee uzima wakituma lazima tukutane huko.🤣🤣🤣🤣 Tuendelee kuvuta subira
 
Nimeskia kwamba next week inayoanza kesho magereza wanatoa


Ni tetesi lakini....NGOJA TUONE
 
Back
Top Bottom