BlackHermito
JF-Expert Member
- Oct 15, 2020
- 748
- 1,140
Wewe omba tu kwa vigezo ulivyonavyo hata kama ulimaliza miaka hiyoKwaiyo ni kufosi tu Mazingira uongo
Wewe omba tu kwa vigezo ulivyonavyo hata kama ulimaliza miaka hiyoKwaiyo ni kufosi tu Mazingira uongo
Kaka upo kimya sana, unakula asali tuSaiv tuko kwenye ya medical exam then tuingie oral


Broh umepotea toka uende kozi au hujamaliza koziNilichokiona mimi ni issue ya confidence tuu hasa ORAL ....maana written ni ya kawaida Sana wanatoa maswali kulingana na fani yako
Ila oral mzee ile paneli ya wale jamaa dooh unaweza ukaanguka kama unawoga
YOTE KWA YOTE USAILI WAO NI WA KAWAIDA SANA
Safari inshaallah utapata kiongozi bora wote wakose ila sio wewe
Kaka insh allah zamu yetu yawadia sasa ..Tuishi na Mungu tu
Maombi Kwa sanaaaNdugu zangu wa zamani haya sasa Safari je tutatoboa kweli??
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
Hakuna simu kuleWapambanaji mlioenda Kiwira kimya sana.Kweli mafunzo si mchezo.
Sjasikia hiiUHAMIAJI wameachia huko raia 500 wanahitajika
Ni kweliSjasikia hii
Nenda kwenye Pages zaoSjasikia hii
Safari inshaallah utapata kiongozi bora wote wakose ila sio wewe
Ume hustle sana


Allahuma amiinSafari inshaallah utapata kiongozi bora wote wakose ila sio wewe
Ume hustle sana