Habari wadau,
poleni Kwa wale wote ambao tunatafuta Ajira.
Hii Mada nimeanzisha ili tuweze kusaidiana Katika kujibu hili swali.
Inaweza kuwa swali rahisi lakini ikawa swali la mtego, na wengi wamefeli interview Kwa hilo swali.
Are you currently working now??
Hili ni swali ambalo Kwa wakati mwingine, inabidi uwe mwangalifu kwasababu ukisema Ndio nafanya kazi lakini nimeapply kazi kwenu kwasababu mnatafuta mtu mwenye uzoefu wa kazi. Inaweza kuwa tayari umejichinja. Maana inawezekana mwajiri anatafuta mtu ambaye hana kazi.
Na hili swali, inawezekana HR wa private sector haitawasumbua Sana, kwasababu wanatafuta mtu mwenye experience.
Ila kama unafanya interview government na ukaulizwa hilo swali ukasema Ndio unafanya kazi kampuni X. Tayari wazee wa utumishi wanakufyekelea mbali.
Je, ni jibu gani inaweza kukuweka mahali salama kwenye interview.
Naombeni msaada hapo.