youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,782
- 3,856
If you rely on others to discover what’s working, you are always a step behind!.
Inawezekana unasubiri kuambiwa trading inalipa, freelancing ina pesa, digital marketing ina kazi nyingi, YouTube inalipa.
Au tayari umemlipa mentor, unasubiri akuambie muda wa kuamka, muda wa kuanza kusoma.
Kufanya kitu kikaonekana kwenye internet inatakiwa uwe action taker na sio kusubiri kuambiwa fanya ABC, Soma ABC. Ukisubiri kuambiwa, inakuwa too late for that.