Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 8,486
- 15,202
Itoe google pixel kwenye list ya simu za kueleweka ....Google pixel ni majanga mnooOfisini kwake hupajui? Mpelekee ofisini ama humjui mlikutana barabarani?
Next time jitahidi, jichange ununue simu za kueleweka kama Samsung, Iphone ama Google Pixel, Oppo ama One Plus.
Zipo simu nyingi za hizo kampani nzuri na zenye uhakika na bei ndogo sawa na uliyonunulia hiyo techno.
Zinazima zima sana afu ndo haziwaki tena