Msaada: Infinix Note 30 5G haipandishi mtandao wa aina yoyote

Kabisa mkuu shida ni kwamba hata simu hapokei, akigundua kua ni Mimi anakata simu
Ofisini kwake hupajui? Mpelekee ofisini ama humjui mlikutana barabarani?

Next time jitahidi, jichange ununue simu za kueleweka kama Samsung, Iphone ama Google Pixel, Oppo ama One Plus.

Zipo simu nyingi za hizo kampani nzuri na zenye uhakika na bei ndogo sawa na uliyonunulia hiyo techno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom