Msaada.: Ideos network

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,482
9,517
Wakuu nina simu Google Ideos Android version 2.2.1 inatumia line ya tiGO pekee,leo tangu asubuhi imegoma ku connect internet.mwenye ujuzi tafadhali, thank you in advance
 
Watakuja wajuvi dogo, ngoja aje C6 ndo makitu zake hizo
 
Last edited by a moderator:
@Pombekali ilikuwaje mpaka ikagoma? au ni matatizo ya mtandao maana internet ya tigo kwenye smart phones ni pasua kichwa, pale juu pembeni ya alama ya network inaonesha alama ya g au e yenye vimishale?
 
yah tigo inasumbua upande wa internet toka jana usiku!
 
Back
Top Bottom