Msaada;Idadi ya course za kujaza kwenye CAS

ProBook

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
558
257
Poleni na Majukumu.
Mimi naomba kuuliza kuhusu idadi ya course za kujaza kwenye CAS sababukwenye kitabu cha TCU wameandika ziwe sita au zaid lakini zisizidi nane,,mimi hapa nilijaza saba na chaguo la saba wameniambia not eligible,,sasa ja naweza kuiacha hivyo hivyo au ni lazima kuibadilisha.
 
Sio lazima kubadirisha japokua ni MUHIMU
 
Hyo ambayo ni not eligible ni kozi gani na ya chuo gani?
 
ni BAF ya Mzumbe

weka cursor penye neno NOT ELIGIBLE utaona ni kwa nini hu qualify then nenda kwenye Guide Book chagua kozi ingine unayo qualify - angalia cut off points na hasa level ya kufaulu kwa masomo (principals ngapi na katika masomo gani in particular) kunakotakiwa na chuo husika. unaweza badilisha kozi lakini sometimes unaweza ambiwa ku clear choice zote, logout, login na ujaze zote tena na usubirie ikiwa in progress ku check.
 
Poleni na Majukumu.
Mimi naomba kuuliza kuhusu idadi ya course za kujaza kwenye CAS sababukwenye kitabu cha TCU wameandika ziwe sita au zaid lakini zisizidi nane,,mimi hapa nilijaza saba na chaguo la saba wameniambia not eligible,,sasa ja naweza kuiacha hivyo hivyo au ni lazima kuibadilisha.

Idadi ya course ni 8 ila unaweza ukapunguza kutokana na unavyopendelea....na kuhusu hiyo ya not eligible inamaana haujafikia vigezo na masharti yaliyowekwa so,inabidi uibadilishe kwa kuangalia tena tcu student guide book ili uangalie iliyoweza kukizi vigezo vyao kutokana na ufaulu wako ndo ujaze
Goodluck
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom