Mmmmm ngoja aje Tiba, Lady doctor
Mbona alisha kufa zamani tunasubiri mazishi yake rasimi.
Ooyooo huyu bado kufa na hapo kawe kwewa dawa ya nusu kapute ili aoni vipi hiyo dawa ya nusu kaputi itamsadia au itakuwa ya usaliti kama wale wa mkoa wa unguja walipo toka kwao kwa pamoja na sauti yao ni mmoja lakini walipo kuingea hospitali yaani ukumbini wakasalitiana wao kwa wao na hapo tena hiyo dawa ikawa kuxpare haikuwa na nguvu na wengeni wakambiwa wasirudi wabaki huku huku na huku siyo kwao kwa huo usaliti ni kitu cha laana tena kikubwa
Chopa tatu kata tatu.
Naweza goli tano mama......sema
Magwanda nawasikitikia, hoja za siasa hakuna tena, mmebaki kuhororoja na kutukana tu.