Msaada: Huyu Dada nimfanyeje?

Msaada: Huyu Dada nimfanyeje?

Hbari wana JF,

Kuna dada ananipenda sana,anataka nimuoe ila binafsi sina hata hisia naye kabisa na nimeshamwambia ukweli kuwa mm nina mchumba tayari ambaye soon tutafunga ndoa,ila bado hanielewi bahati nzuri hata Baby wangu amamfahamu tayari ila bado hakubaliani na hali hiyo.Amekuwa akipiga simu na kutuma msg 24/7 ila nisipojibu au kupokea anatuma salio,mfano leo kanunua muda wa maongezi wa elf 10,bundle la mwezi mzima ilimradi niwe namjibu na kumpigia simu.

Nimempigia na kujaribu kumsihi anielewe, ila anasema ananiomba tu angalau azae namm atalea mwenyewe,mm nimemwambia jambo hilo haliwezekani kwa imani yangu na binafsi siwez fanya ivyo.Kwangu anapafahamu cos tunaishi karibu leo jioni wkt narudi toka mishe zangu aliniona ile naingia tu kwangu,nayeye akaja nikasalimiana naye,ghafla akawa anataka kuja mwilini,cos niligundua anachotaka nikawa mpole na kutumia akili ya kuzaliwa.Nikamwambia iliuenjoy ngoja nioge kwanza ili uwe comfortable cos nimesweti sana,akanielewa.Nikazuga hakuna sabuni nikamtuma dukani,alipotoka tu namm nikatoka na kufunga mlango,akawa anakuja na sabuni nikaipokea then nikamwambia nimepigiwa simu natoka,akawa anaforce nimwachie funguo abaki ndani nikagoma,akasema atanisubilia.

Bahati nzuri mchumba wangu huwa anakuja weekend,yeye anafunguo ameenda direct hadi pale akakuta yupo amekaa nje ya nyumba,Baby akaingia ndani nayeye akamfuata,cos anamjua akamuuliza vp,akajibu namm namsubilia huyohuyo si wako pekeyako,baby wangu cos anajua mkanda wote akasema sawa karibu,nimerudi nikamkuta ndani.Akanitukana sana,mi nilikuwa natabasamu tu,then akaondoka na matusi yanaendelea kuja kwa msg ila mm sijibu chochote.

Naombeni ushauri wenu,nini chakufanya.
Umeshinda mkuu hongera ni wachache huwa wanashinda ungejidanga tu usingetoka na mchumba wako ungemkataa
 
ushaanza kuleta mapenzi!!

Hhahahahaaa looh.

Kwanza mapenzi na Kasie ni mate na ulimi.... haviachani.

Eti Mentor kweli dada ako Kasie akisema I mish you maana yake nakuletea mapenzi??!!!

Wee Mangi wewee... naanzaje kwanza, Nacho cha Ruwa, Nkiki...!!

Mentor ni mdogo wangu wa hiari, anyways nisiseme mengi.

Again I mish you (Mentor)
 
Pole sana...

Ila kwa akili za wanawake , amkaribishe mwanamke mwenzake ndani ambae anajua kabisa anamtaka mtu aliyekua nae ni ngumu sana...

Jaribu kua mkweli kidogo...
Itakua ni wewe mtoa mada unagonganisha magari...

Cc: mahondaw
Inawezekana kumkaribisha.
 
Hbari wana JF,

Kuna dada ananipenda sana,anataka nimuoe ila binafsi sina hata hisia naye kabisa na nimeshamwambia ukweli kuwa mm nina mchumba tayari ambaye soon tutafunga ndoa,ila bado hanielewi bahati nzuri hata Baby wangu amamfahamu tayari ila bado hakubaliani na hali hiyo.Amekuwa akipiga simu na kutuma msg 24/7 ila nisipojibu au kupokea anatuma salio,mfano leo kanunua muda wa maongezi wa elf 10,bundle la mwezi mzima ilimradi niwe namjibu na kumpigia simu.

Nimempigia na kujaribu kumsihi anielewe, ila anasema ananiomba tu angalau azae namm atalea mwenyewe,mm nimemwambia jambo hilo haliwezekani kwa imani yangu na binafsi siwez fanya ivyo.Kwangu anapafahamu cos tunaishi karibu leo jioni wkt narudi toka mishe zangu aliniona ile naingia tu kwangu,nayeye akaja nikasalimiana naye,ghafla akawa anataka kuja mwilini,cos niligundua anachotaka nikawa mpole na kutumia akili ya kuzaliwa.Nikamwambia iliuenjoy ngoja nioge kwanza ili uwe comfortable cos nimesweti sana,akanielewa.Nikazuga hakuna sabuni nikamtuma dukani,alipotoka tu namm nikatoka na kufunga mlango,akawa anakuja na sabuni nikaipokea then nikamwambia nimepigiwa simu natoka,akawa anaforce nimwachie funguo abaki ndani nikagoma,akasema atanisubilia.

Bahati nzuri mchumba wangu huwa anakuja weekend,yeye anafunguo ameenda direct hadi pale akakuta yupo amekaa nje ya nyumba,Baby akaingia ndani nayeye akamfuata,cos anamjua akamuuliza vp,akajibu namm namsubilia huyohuyo si wako pekeyako,baby wangu cos anajua mkanda wote akasema sawa karibu,nimerudi nikamkuta ndani.Akanitukana sana,mi nilikuwa natabasamu tu,then akaondoka na matusi yanaendelea kuja kwa msg ila mm sijibu chochote.

Naombeni ushauri wenu,nini chakufanya.
Unatuchosha na comedy zako mzee! Wanaume wa hivi waliishia vita ya pili ya dunia
 
Hhahahahaaa looh.

Kwanza mapenzi na Kasie ni mate na ulimi.... haviachani.

Eti Mentor kweli dada ako Kasie akisema I mish you maana yake nakuletea mapenzi??!!!

Wee Mangi wewee... naanzaje kwanza, Nacho cha Ruwa, Nkiki...!!

Mentor ni mdogo wangu wa hiari, anyways nisiseme mengi.

Again I mish you (Mentor)
Mpaka nimejisikia vibaya for being a bad young brother...

I miss you zaidi my dear lovely caring sister...
 
hahah ila ulitumia uvumilivu sana safi kwa kumuacha atukane aondoke...saFI Kabisa
 
kama unachokisema ni kweli haujafabricate story basi nna uhakika 100% huyo sio binadamu peke yake ana ujini ndani yake, Kama ume edit story acha uzinzi haraka sana na ufuate ushauri wa Mentor hapo juu

Mshana Jr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom