Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 2,021
- 2,442
Ulishachovya bwana usitudanganye, hakuna mwanamke wa hivyo duniani lazima ushamla
Hata mtoa mada alishagonga, mazingira yanaonyesha wazi, huyo dada hawezi from nowhere akamng'ang'ania hivyo, kwa maelezo yake mchumba yuko long distance so jamaa alikuwa anajipoza kwa huyo dada.kuna vidume hapo vishapiga siku nyingi na ndoa holaaaaa.
Hiki kitu hataki tu kukisema, lakini atakuwa alishamlaHuyo ulisha wahi kumgegeda huyoo wala usibishee,
we jamaa una akili mingi mingi kuanzia tungo zako za kufunza hadi ushauri.Ngoja kwanza nikushauri kabla sijaanza assumptions:
Huyo ni psycho case kwa maelezo yako. Baada ya muda ata-graduate kutoka kwenye matusi kwenda kuwenye vitendo vya kukudhuru ama kumdhuru mwenzako au kujidhuru yeye mwenyewe.
Kwa kweli nikisema umaripoti polisi nitakuwa nawaonea polisi wetu maana utaalamu huo hawana na hata akipewa court order (ile wazungu wanaita RESTRAINING ORDER) sijui kama ataitii.
Kuweni makini tu na usalama wenu. Kama umepanga fanya mpango tu uhame. kama ukiweza kumshauri au kuzungumza na ndugu zake uwashauri wamtafutie matibabu itapendeza zaidi.
Kwa vyovyote vile chungeni sana usalama wenu.
TURUDI KWENYE ASSUMPTIONS:
Huyu binti hakutokea tu barabarani akakufuata akakuambia wewe kaka nakupenda nataka unioe. Hebu tuelezee kilichofikia mpaka yeye kuja kusema anataka umuoe...
Ngoja kwanza nikushauri kabla sijaanza assumptions: