Msaada: Huyu Dada nimfanyeje?

Msaada: Huyu Dada nimfanyeje?

Kuendekeza nae mazoea ndo
Chanzo cha yy kuendelea
Kukudekea kama umemzaa
 
kama ni kisu we mtafune usije ukafanya kosa kuacha mwanamke nyuma hata kweny buti wewe muweke.
 
Mkuu jiandae kutangazwa wewe una kibamia, kozi dada anataka dudu we unamnyima Kuna siku atakuvizia atakubaka we subili.
 
Ngoja kwanza nikushauri kabla sijaanza assumptions:

Huyo ni psycho case kwa maelezo yako. Baada ya muda ata-graduate kutoka kwenye matusi kwenda kuwenye vitendo vya kukudhuru ama kumdhuru mwenzako au kujidhuru yeye mwenyewe.

Kwa kweli nikisema umaripoti polisi nitakuwa nawaonea polisi wetu maana utaalamu huo hawana na hata akipewa court order (ile wazungu wanaita RESTRAINING ORDER) sijui kama ataitii.

Kuweni makini tu na usalama wenu. Kama umepanga fanya mpango tu uhame. kama ukiweza kumshauri au kuzungumza na ndugu zake uwashauri wamtafutie matibabu itapendeza zaidi.

Kwa vyovyote vile chungeni sana usalama wenu.


TURUDI KWENYE ASSUMPTIONS:
Huyu binti hakutokea tu barabarani akakufuata akakuambia wewe kaka nakupenda nataka unioe. Hebu tuelezee kilichofikia mpaka yeye kuja kusema anataka umuoe...
Bravo.
 
Ningempigia kimy , block Kila
Cona ya social network na
Kuhama hapo kama naish tabata
Bhas nasepa mpaka kino
Namm nimeona si kawaida,leo nimeanza mchakato wa kuondoka maana hii changamoto hatari
 
Jifanye umerukwa na AKILI yaani umekuwa Mwendawazimu.

Hakikisha unamfuata yeye Nyumbani kwake ukiwa wewe umejipakaza MASIZI ya mkaa Mwili mzima, huku ukiwa umevaa Viatu vilivyochakaa vikiwa vichafu na Viwe vinatofautiana.

Ukifanya hiki ninachokuambia nakuahidi hatokusumbua tena huyo
Ha ha ha ngoja nijaribu kuwa bongo movie
 
Mpe dudu hyo wewe wanaume wa dar mkoje kwani, au umeambiwa dudu ni kama ice cream itaisha
 
kuna vidume hapo vishapiga siku nyingi na ndoa holaaaaa.
Baada ya kufanya utafiti kidogo,hiyo familia inawatoto wakike wanne ambao mdogo kabisa ni 23+ na wote hawajaolewa wawili tayari wamezaa home na shule walikataa,so mama yao amechoka nao,so kwa mazingira hapa mm ninapo kaa nimtego wa ndoa ya mkeka,ukigusa tu unanasa....na kwa taarifa ya wenyeji huwa hawakatai mwanaume yaani wanahuruma sana anytime,anywhere cos wao muda mwingi wapo home hawana kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom