Msaada: HUAWEI E303s-2

Msaada: HUAWEI E303s-2

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
habari, wanajamvi

nimekuwa nikipita almost daily kuchek kama suluhu la ku-unclock au kuflash modem HUAWEI E303s-2
limepatikana, sidhani katika wataalamu wa humu watakuwa hawana suluhu

hebu pitieni basi Mwl.RCT Njunwa wa mavoko khalfan na wengine hebu leteni nondo basi...k
 
Last edited by a moderator:

Mkuu mbona ipo kitambo labda ilochemsha ni ile ya Airtel Huawei E303H-1 Hi link nilipiga Firmware kwa ajili ya ku unlock ile E300h-1 ya Tigo ikapitiliza mpaka kifo....

Kama umedhibitisha yako ni E303s-2 nafikiri hii hapa

https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/303310-finally-huawei-e303-unlocked.html

Kama ni Hi link za voda unaitaji ku switch project mode....
May be kwanza confirm
 
Yangu ni ya voda, hi link mkuu..zile zinazo funguka na browser
 
Mkuu, hizi file nikitaka nizi download zinasem niweke password ku unlock the file.msaad plz

Usiposoma hiyo document na kwa umakini process itakua equivalent na ku dump modem yako

Maelezo ya mewekwa kwamba pswd ni gkiwango
 
Last edited by a moderator:
Usiposoma hiyo document na kwa umakini process itakua equivalent na ku dump modem yako

Maelezo ya mewekwa kwamba pswd ni gkiwango

Nilitaka nidownload apps then nianze kusoma hizo instructions,..Many thanks kwako pia
 
Last edited by a moderator:
Y 330 inalazimisha kuformat memory card msaada jinsi ya kulinda data.
 
Nami nakuombeni msaada ndugu zangu wa jf jinsi ya kuapgraid sofware ya huawei mt 1 u06 kutoka 4.1.2 kwenda 4.4.4 andoid
 
Back
Top Bottom