alsaidy
JF-Expert Member
- Feb 23, 2009
- 334
- 90
HTC zote ni made in china!
Hapana mkuu. HTC original ni made in Taiwan
HTC zote ni made in china!
Nimekusoma mkuu,but wewe na wengine naomba mnisaidie katika sintofahamu hii, nina miliki Tecno T1 android, niki sign in google play wananiambia, "this program is compatible with your Taiwan Tecno T1 ",unapata picha ipi kuhusu Taiwan?Hapana mkuu. HTC original ni made in Taiwan
Karibun kwenye huawei ascend y300
Inakimbilia ngapi hiyo mkuu?Karibun kwenye huawei ascend y300
195000 tigoshop mpyaaaaaInakimbilia ngapi hiyo mkuu?
Hapana mkuu. HTC original ni made in Taiwan
Acha kupotoshwa ukweli,HTC zipo nyingi sana(Nikimaanisha brandname)kwa mfano HTC Inspire 4G(AT & T)hii ni american original pia verizon ni American type,zipo HTC za kichina sikatai but siyo zote
Kula 5, Huawei Y300 safi kbs