Msaada HTC Phones

ChaterMaster

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2009
Posts
1,623
Reaction score
808
Wakuu nawasalim...
Naomben mwenye kujua vzur juu ya hz cm za htc nimeziona ila bado Sijajua features zake vuzur.
pia nahitaji kufahamu kama zipo za double line au vp
Nawazilisha....
 
Ni simu nzuri sana,kitu cha msingi fanya utafiti ujue specification unazotaka kama camera,processor,memory,version ya os

Hebu pitia hapo uangalia model walizonazo

All HTC phones
 
Htc ni simu bomba sana zina karibia kila kitu unachohitaji kwenye ulimwengu wa leo,
Hakuna Htc doubleline Labda iwe mchina
Htc touch kama.zilivyo simu nyingine nyingi za touch zina tatizo la kutunza moto kwenye betry, ukiwa nayo jihakikishie kutembea na chaji
 
Ni simu nzuri sana,kitu cha msingi fanya utafiti ujue specification unazotaka kama camera,processor,memory,version ya os

Hebu pitia hapo uangalia model walizonazo

All HTC phones

Zipo double line. Na Siyo mchina. Uliza HTC desire.
 
hii kitu cdma, wcdma, scdma ina maana gani kwenye simu, hasa simu ikiwa na andrid ver 2.2 inaweza kuinstall skype?
 
WAKUU SORY NLIPOST HII TOPIC NKIWA SAFARINI HIVYO NIKAWA NAKABILIWA NA TATIZO NETWORK BARABARAN

NAWASHUKURU SANA MKUU ELIZAA,MSHANA jr, BeLLO
NAFANYIA KAZ MAONI YENU
ntarudi nitakapokwama
 
mkuu elizaa hizo HTC DESIRE double line znapatikana wap mkuu
 
nmepitia hzo various model za Htc nmerizika nazo labda wakuu mngenambia n maduka gan naeza kwenda nkachagua option ninayoipenda kwa bei poa
 
Htc nexus one mpaka 10nikama iphone kasoro itune tu ila ninzuri coz samsung anakopy kwa hawajamaa so kuna htc nyingi lakini kuna vi htc vidogodogo vina tia kichefuchef usinunue vinagoma tach ukiona htc nzito kwenye ku tach achananayo itakuwa co
 
HTC my 4g touch ni nzuri sana. Uzuri wa HTC hakuna feki.
 
Ni wap wakuu znapatkan hiiz makitu..maduka gan...
 
katika htc zote nimeivulia kofia HTC ONE tu ni hatariiiiiiiii
 

HTC zote ni made in china!
 
wakuu nawashukurun nyote kwa maoni/msaada wenu wa nguvu
nmepata htc desire v maeneo ya samora ninakula bata na smart phone matata kabsa.
kwa wale ambao wanahtaj kuingia kwenye ulimwengu huu karibuni htc m nazifagilia maana ni jsmii moja na apple
 

Lakini HTC ni kampuni ya honkong
 
I meant kampuni ya taiwan and last time i checked taiwan ni china
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…