Salam wanajamii. nina hp laptop ambayo inachemka sana,nafikiri feni yake imeungua,pia ina tatizo la kuto respond,na kujibonyeza keyboard yenyewe na sometimes kuji lock. Msaada wa kiufundi wa kubadilisha feni na kufix hzo shida zingine tafadhali. Ningependa kujua na makadirio ya gharama zake. Ahsante