Msaada: HP laptop ina matatizo haya

josby

Member
Sep 8, 2012
85
0
Salam wanajamii. nina hp laptop ambayo inachemka sana,nafikiri feni yake imeungua,pia ina tatizo la kuto respond,na kujibonyeza keyboard yenyewe na sometimes kuji lock. Msaada wa kiufundi wa kubadilisha feni na kufix hzo shida zingine tafadhali. Ningependa kujua na makadirio ya gharama zake. Ahsante
 
Damas Magesa

Member
May 23, 2014
13

Kaka josby. Ni lazima tuicheki kwanza. Inawezekana keyboard nayo inatakiwa kubadilishwa. Ofisi zetu ziko kinondoni mitaa ya manyanya. Ni vigumu kutoa tathmini bila kuiona na kuangalia vitu hivyo vinavyorespond
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
48,409
2,000
Naomba nikupinge mkuu.

Inategemea na aina ya matumizi ya PC yako, kumbuka kuna PC za light users, medium users na heavy users.

Light users ni kwa ajili ya kuandika documents na kuangalia muvi kwa muda mfupi tofauti na medium user ambae anaangalia muvi na kucheza game kidogo.

Heavy user ni yule anaeweza kutumia PC kwa shughuli nyingi bila kuchemka.

Mimi natumia HP 602 toka 2012 na inapiga mzigo fresh sana. Ila kuna mshikaji wangu anatumia HP ila nimeisahau model akitumia kuangalia muvi kidogo tu inachemka balaa wakati yake ni mpya hata mwaka haijamaliza.
Tunacheza game moja ila yake inachemka yangu inakuwa poa.
Nikaja kugundua baada ya kusearch mtandaoni solution, ya kwake ni kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila yangu ni heavy user.
 
unywele

Member
May 8, 2014
51

sory mkuu....nitajuaje km ni light, medium na heavy users?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom